moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahaahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa bhana ila sisi Manchester tunashukuru maana mngetusumbua kweli kweli mngechukua Ubingwa wowote
Mkuu wanaojua uhasimu wa mchezo wa soka ulivyo wanasema Ubingwa wa Man City ni tatizo sana kwa Man U kuliko ubingwa wa Liverpool kwa Man U.
Kumbuka Man City na Man U zipo mji mmoja, achana na sisi huku ambao tunakopi kopi ushabiki