Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Huyu wametuma video eti ambayo alimtoa pepo kwanza..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wajinga sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]50% ya Watanzania leo wameangalia X
Unapenda uji eeh?Mimi nilikuwa nataka uji wa pilipili manga huo
Hata picha ingefaa Tu
Hahah! Ngoja tuone huyu nae atakuja na hoja zipiHuwaga wana roho ngumu na hoja tata. Kuna yule mmoja wa Mwenge alifumaniwa na mke wa mwanasheria mmoja maarufu, watu wake wakadai eti huyo mwanasheria na mkewe walimtegea ili kumpima imani Askofu wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasema video imeghushiwa.. anayeshughulika ana six pack kama za Capitalpool wakati Mchungaji ana one pack .. Mlioiona ana six pack kweli?
Halafu mapazia sijui yanatofaitiana etc
Embu elezea inakuwaje
Aisee hatari..halafu kumbe mtu anayejulikana watu wana interest ya kuona anachofanya!50% ya Watanzania leo wameangalia X
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]capital ana shida sana na six pack zake[emoji23][emoji23]nimeiona moja anajipiga mwenyewe kakideo ile ya kula tunda sijaiona
Unapenda uji eeh?
Matunda hayo mkuuni vinini hivi Moudy?
How are you today?
Hahahaa...Onja.
Embe mawazo chapa ya Bagamoyo, ukila hilo lazima ukae kitako usikilizie utamu wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli mpenzi Leo nimeingia majaribuni kwa Mara ya kwanza kila jukwaa ni Ngwajima imebidi na Mimi nicheki πππHee jamani kuna video ya kulia daku leo..
jamani mwezi mtukufu huu