Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Hahaha kama Poti ... Yaani hiko chama hakiaminiki tenaVideo inahitajika kwa ajili kufanyia utafiti maana Askofu ni mwanachama wa chama cha Wagumu pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha kama Poti ... Yaani hiko chama hakiaminiki tenaVideo inahitajika kwa ajili kufanyia utafiti maana Askofu ni mwanachama wa chama cha Wagumu pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Karibu daku kula
Hahaha Hawachi kashindwa! wewe utaweza kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]Nitatumiwa, nitasubiri mpaka 6 shawal, ikiisha nitaipitia.
Ila madhumuni ya funga ni kupata uchamungu. Mwezi ukiisha nikiupata nitaifutilia mbali
Moud kishakitia chama doaHahaha kama Poti ... Yaani hiko chama hakiaminiki tena
Uchafu wa mtu maarufu ni bonge la habariAisee hatari..halafu kumbe mtu anayejulikana watu wana interest ya kuona anachofanya!