Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji23][emoji23][emoji23]Nitatumiwa, nitasubiri mpaka 6 shawal, ikiisha nitaipitia.Kuna mtu kaniambia ananitumia baada ya kufuturu dah itabidi niifungue Iddi Pili
Ndio maana halisi ya umaarufu watu lazima wakufatilieAisee hatari..halafu kumbe mtu anayejulikana watu wana interest ya kuona anachofanya!
HahahahahaHahaha nimeona nawewe umeiomba huko mimi hadi sasa sijatumiwa nimeomba nimeishiwa kupewa like tu. Ukitumiwa nitumie nakala pia [emoji3][emoji3]
Hee! wameiweka? Ban zinawahusu!Jukwaa la "habari na hoja mchanganyiko" kajionee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeomba kideo ukaishia kupewa like[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nimeona nawewe umeiomba huko mimi hadi sasa sijatumiwa nimeomba nimeishiwa kupewa like tu. Ukitumiwa nitumie nakala pia [emoji3][emoji3]
Video inahitajika kwa ajili kufanyia utafiti maana Askofu ni mwanachama wa chama cha Wagumu pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi wale wagumu(CHACHAWA) nawaona wanavyopata tabu kutumiwa video ya Askofu [emoji23][emoji23]
Usifungue utaharibu funga bureYaani wanaume wenzie walivyomwagia sifa...
Sitaifungua mimi aisee..
Acha tu yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeomba kideo ukaishia kupewa like[emoji23][emoji23][emoji23]
Uwiii.. ndio maana mimi leo mchana sijataka kabisa kuperuzi humu ... vishawishi hatari..Kwa kweli mpenzi Leo nimeingia majaribuni kwa Mara ya kwanza kila jukwaa ni Ngwajima imebidi na Mimi nicheki πππ
Kwenye kiza kuna vingi vya kutishaChunga sana pindi inapofika usiku