Barcelona
Hivi tatizo ni Kocha bro?Anahitajika kocha wa Ajax
Si nawaomba wadau wameninyimaaItupiemo basi poti! [emoji1][emoji1]
Tatizo ni M hahahahaHivi tatizo ni Kocha bro?
Hivi tatizo ni Kocha bro?
Tatizo ni M hahahaha
Let's talk about Gwajima tu
Kwani bado hujaipata tu?Si nawaomba wadau wameninyimaa
Nakosa nguvu ya kusema zaidi mana makali nimeshika mimi. HehehTatizo ni M hahahaha
Inawezekana bro japo mimi nilihisi wachezaji tu walizidiwa uwezoKocha bro lazima angefuta makosa aliyoyafanya na Roma last year
Hahah ngoja nijaribu kukutumiaMi naomba tu kavideo kale mkuu
Anataka kutuambia nini huyu 🙁