Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mbinu zote anazo messiBinti Mpole hapo unatokaje embu tupe mbinu
Mbinu zote anazo messiBinti Mpole hapo unatokaje embu tupe mbinu
Mbinu zote anazo messi
Leo mmekua wapole hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah sawa Tu
Huku kwetu jua kaliKwani huko kwenu vipi?
Duh aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuteni mchungaji awaletee na nyie mvua 😀Huku kwetu jua kali
HahahDuh aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleni sana, ila kuna cha kujifunza kupitia mechi ya jana.Hahah ngoja nijaribu kukutumia
So sad bro jamaa wametuvua nguo hadharani
Nikweli kabisa wanaonekana hawakukata tamaa kama mashabiki na waliupiga mwingi mno wanastahili pongezi sanaPoleni sana, ila kuna cha kujifunza kupitia mechi ya jana.
1. Usimuamini mtu hata iweje maana anaweza kukugeuka dk tu
2. Usikate tamaa no matter the situation. Just keep going and do ur best.
Walichofanya liva jana ni kwamba hawkuangalia ukubwa wa tim na pressure za nje, waliangalia walipokosea mechi iliopita wakalifanyia kazi na wakaona bado wana nafasi kubwa hata kama mashabiki zao walikata tamaa. Walicheza kwa imani moja tu, 'kushinda' na wakashinda.
Bravo Liverpool though am not ur fan 😊
Ndugu yangu Don Clericuzio hongera sanaaaaa nimekuona unanitafuta ila nakukwepa na genge lako, hongera zangu pokelea huku
Hahah! Poa poa mkuu kila lakheriAsante sana, chukueni EPL na City.
Ngoja tudili na kimeo cha Ajax au Tottenham ili tugawane makombe.
Hahah! Poa poa mkuu kila lakheri
Huko nitapita kimya kimya sitii neno mana sio kwa jinsi mnafukua makaburiAsante mkuu, leo ntashinda kwenye uzi wenu wa Barca.