Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BREAKING NEWS: Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima anatarajiwa kuwa na mkutano na waandishi wa habari leo Jumatano, saa tano asubuhi katika kanisa la Ufufuo na uzima maeneo ya Ubungo jijini Dar es Salaam.
 
Inawezekana bro japo mimi nilihisi wachezaji tu walizidiwa uwezo

Kocha ndiyo anayonafasi ya kuwajengea wachezaji motive ili waweze pambana ilitakiwa hata kama Timu inatolewa mashindanoni kweli mnajua haikuwa bahati yenu sio kwa performance mbaya ya kiwango kile Beki zinajisahau kama wanacheza rede goli la nne si la kufungwa kabisa

Kocha Hamna pale bro
 
So sad bro jamaa wametuvua nguo hadharani
 
Bro ake bro bana. Jana mliwadharau liver hasa baada ya kuona salah na firminho hawapo,mkawachukulia poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…