Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah ngoja nijaribu kukutumia
Poleni sana, ila kuna cha kujifunza kupitia mechi ya jana.
1. Usimuamini mtu hata iweje maana anaweza kukugeuka dk tu
2. Usikate tamaa no matter the situation. Just keep going and do ur best.

Walichofanya liva jana ni kwamba hawkuangalia ukubwa wa tim na pressure za nje, waliangalia walipokosea mechi iliopita wakalifanyia kazi na wakaona bado wana nafasi kubwa hata kama mashabiki zao walikata tamaa. Walicheza kwa imani moja tu, 'kushinda' na wakashinda.

Bravo Liverpool though am not ur fan 😊
So sad bro jamaa wametuvua nguo hadharani
 
Nikweli kabisa wanaonekana hawakukata tamaa kama mashabiki na waliupiga mwingi mno wanastahili pongezi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…