Poleni sana, ila kuna cha kujifunza kupitia mechi ya jana.
1. Usimuamini mtu hata iweje maana anaweza kukugeuka dk tu
2. Usikate tamaa no matter the situation. Just keep going and do ur best.
Walichofanya liva jana ni kwamba hawkuangalia ukubwa wa tim na pressure za nje, waliangalia walipokosea mechi iliopita wakalifanyia kazi na wakaona bado wana nafasi kubwa hata kama mashabiki zao walikata tamaa. Walicheza kwa imani moja tu, 'kushinda' na wakashinda.
Bravo Liverpool though am not ur fan [emoji4]