myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wamemshambulia sana leoKiller bashite
HahahhaaNtolilo beibi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niaje Ankoo, kwema huko ?
Hehehehe tunavutia madanga yenye helaaaa[emoji3][emoji3] halafu mjini mnajiita ma princess
Dah u Rc nao uandikiwe!Anatakiwa atafute mtu wa kuwa anamuandikia speech zake mana hakawii kuharibu kila siku
😁 Amedamshi.. kijana huyo mwacheni avae
Itabidi nikiwa na hela kama wao nifuate nyayoHehehehe tunavutia madanga yenye helaaaa
Sasa kila akiongea anaharibuDah u Rc nao uandikiwe!
Ndo hivyo saka pesa kijanaItabidi nikiwa na hela kama wao nifuate nyayo
Sawa JoyceNdo hivyo saka pesa kijana
Ungeweka na ntolilo likanogaSawa Joyce