Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Man United (Raundi ya 16 bora, 2018/19)
Msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Manchester United ilifanya maajabu yake ya kupindua matokeo kwenye hatua ya 16 bora, baada ya kupigwa 2-0 PSG uwanjani Old Trafford na kwenda kushinda 3-1 ugenini. PSG ilionekana kama imemaliza kazi kwa ushindi wa ugenini, lakini mabao ya Romelu Lukaku na Marcus Rashford yalipindua matokeo na Man United kushinda 3-1, hivyo ilisonga mbele kwa mabao mengi ugenini baada ya matokeo ya jumla kuwa 3-3.