Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2019-05-10 Twitter.png
 
Hii game imekaa vibaya sana kwa upande wangu bro maana yeyote atakaeteka ndoo itakua shida upande wangu. Natamani siku ya game ugaidi utokee wapige bomu uwanjani game igairishwe
Bomu tena bro???haijakaa poa hiyo bro,watakaodhurika ni watt na watu wasio kuwa na hatia yoyote,,,najua utakuwa haujamaanisha hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kila la kheri Spurs[emoji123][emoji123]
 
Hahah! Siwezi kumaanisha hivyo bro nilijaribu kuelezea hivyo ili uone jinsi game ilivyokaa hovyo upande wangu..... Liver wamefuzu final ila taarabu wanazoimba nakosa amani sasa wakiiteka ndoo itakuaje?

Tot bwana mdogo akichukua mimi sina nitakoma maana utawala nilionao pale epl bado nakosa kuheshimiwa kisa sina UCL
 
Hallelujah! But this dictator don’t care about our constitution or decision made by courts of law. Therefore I won’t be surprised if this dictator in SH continues with his plans to steal another election.
Mwache ajifanye mwendawazimu! Tutamhuhukumu kwa uvunjifu wa katiba! Wanalofanya kina shangazi ni jambo zuri, kuitetea katiba ambayo inakanyagwa na aliye apa kuilinda!

Wajibu wetu sisi ni kusema na kukemea uvunjifu wa katiba kwa makusudi!
 
Hahah! Siwezi kumaanisha hivyo bro nilijaribu kuelezea hivyo ili uone jinsi game ilivyokaa hovyo upande wangu..... Liver wamefuzu final ila taarabu wanazoimba nakosa amani sasa wakiiteka ndoo itakuaje?

Tot bwana mdogo akichukua mimi sina nitakoma maana utawala nilionao pale epl bado nakosa kuheshimiwa kisa sina UCL
Ha ha ha hii taarabu za Liverpool hata mm inanipa shida kidogo,ndio maana nataka Spurs achukue ili mtaa uwe kimya

Kuhusu Spurs kuchukua ili hali The Citizen mkiwa hamjawahi hata kufika nusu fainali lina ukweli ndani yake,kwanza kwa hatua waliofika tu, tyl The Citizen hamwez ongea mbele yao...ila polen sana hata nusu mzee hamjawai ha ha ha
 
Back
Top Bottom