Hahahaha,[emoji1787][emoji1787]Lile ni daraja mkuu alafu na kile kivuko pale Ubungo nimepita juzi mvua ilikua inanyesha ebhana maji yanajaa kule kule juu yanafika kwenye ugoko
I believe in TANZANIA my wonderful country
Ni kweli bro,tuna haki ya kuhoji,,ndio maana nimekuambia sio MO pekee,naona matajiri wengi wenye asili ya kihindi hapa Bongo hawapo karbu na jamii hasa mambo kama haya yanapotokeaMO hatukutegemea! Manake wengi tunadhani ni muungwana! Tunaye kwenye social medias, kwenye viwanja vya michezo na mambo mengine Mengi ya kijamiiii huwa anashiriki! Tuna haki ya kuhoji.
Swala ingine yeye pia ni mmoja ya wale wahanga wa matukio ya kutekwa, Mdude aliimba sana ule wimbo wa #BringBackMo .. Inakuaje anashindwa hata kuonyesha kuguswa japo kwa kukemea tu?!
Wakati vinanadiwa Vipigo vya kuchakaa alikuwa wapi huyo?Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani imesema "hakuna Sheria inayomruhusu askari Polisi kumpiga au kumtesa mtuhumiwa wa makosa yoyote akiwa mikononi mwao na hata katika kituo cha Polisi".
Masauni!
Sasa vipigo vya mbwa koko ni nani anatoa amri? Tunajitambua kweli?
Haipendezi hata kidogo.Inaweza kuwa kuna maagano flani bro,wenzetu hawa wana mambo mengi sana nyuma ya pazia
Namshangaa sana!Wakati vinanadiwa Vipigo vya kuchakaa alikuwa wapi huyo?
Si la kuchekesha hiliHahahahaaha
Salama bro,Niaje bro??
Huyu binti mpole sasa hv sio Esta tena ni Joyce??
Hapana bro,Prisca nani tena??Salama bro,
Anabatizwa sana binti mpole.Unamjua Prisca?