Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ekiogunbor___Br5q4NMDOEq___.jpg
 
Sipati picha tatizo kama hilo lingetokea hapa kwetu. Mchezaji na kocha wa zamani wa Simba Mohamed Kajole alifariki kwa tatizo kama hilo mara baada ya kupata ajali ya gari akitokea kwenye kambi ya Simba Kibaha.
Alipaswa kupimwa CT Scan usiku huo, ikashindikana eti hakuwa na laki 2.
RIP Mohamed Kajole
Ndani ya saa moja tangu kutolewa uwanjani alifanyiwa uchunguzi wa kina ikiwamo picha za X-ray na CT Scankuona kama kuna damu yoyote ambayo imevilia katika ubongo au kuvunjika kwa fuvu.
 
"Hakuna nchi duniani ambayo inaleta maendeleo bila kuikumbatia private sector,Mengi aliniambia kiongozi mzuri ni yule ambaye anakubali kwamba hajui, si mjuaji wa kila jambo, Ukiwa na kiongozi wa aina hiyo atakuwa na sifa kuu mbili,Mosi atapenda kujifunza, Pili atasikiliza vilio vya watu ili avitatue,Ukijifanya kujua kila kitu Mzee Mengi anakwambia wewe sio kiongozi"-Bernard Membe,Waziri wa Zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.(📸 Clouds Media) #KwanzaHabari
 
Back
Top Bottom