MO hatukutegemea! Manake wengi tunadhani ni muungwana! Tunaye kwenye social medias, kwenye viwanja vya michezo na mambo mengine Mengi ya kijamiiii huwa anashiriki! Tuna haki ya kuhoji.
Swala ingine yeye pia ni mmoja ya wale wahanga wa matukio ya kutekwa, Mdude aliimba sana ule wimbo wa #BringBackMo .. Inakuaje anashindwa hata kuonyesha kuguswa japo kwa kukemea tu?!
Salama Salama.Habari yako Beef
Wewe acha tu mzee Liver ni shida sana alafu kumbe wapo wengiHa ha ha hii taarabu za Liverpool hata mm inanipa shida kidogo,ndio maana nataka Spurs achukue ili mtaa uwe kimya
Kuhusu Spurs kuchukua ili hali The Citizen mkiwa hamjawahi hata kufika nusu fainali lina ukweli ndani yake,kwanza kwa hatua waliofika tu, tyl The Citizen hamwez ongea mbele yao...ila polen sana hata nusu mzee hamjawai ha ha ha
Itakua na faida zaidi maana ata wafiwa wanapewa fidiaAisee,,vipi kama huyo mke wake akipoteza maisha kwenye hiyo ajari,,hzo pesa atakazolipwa zitakuwa na faida kwake??
Kweli kufa,kufaana!!
Wakati vinanadiwa Vipigo vya kuchakaa alikuwa wapi huyo?