Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sipati picha tatizo kama hilo lingetokea hapa kwetu. Mchezaji na kocha wa zamani wa Simba Mohamed Kajole alifariki kwa tatizo kama hilo mara baada ya kupata ajali ya gari akitokea kwenye kambi ya Simba Kibaha.
Alipaswa kupimwa CT Scan usiku huo, ikashindikana eti hakuwa na laki 2.
RIP Mohamed Kajole
Bongo ni shida.
 
Bdo mwpema
 

Attachments

  • IMG-20190508-WA0005.jpeg
    IMG-20190508-WA0005.jpeg
    46.7 KB · Views: 28
Back
Top Bottom