Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_4653.JPG

To All Mother’s Out There; Happy Mother’s Day In Advance!
 

hatari sana,
laiti kama dunia ingeliumbwa kwa umbile la binadamu basi Tanzania ingelipatikana eneo la katikati ya makalio.
wenzetu wanajenga uwanja wa ndege kwa gharama ya dola billioni 1.3 wakati sisi tunaghairisha ujenzi wa barabara ya chini eneo fulani.
kwa nini Mungu umenitengenezea msingi wa maisha yangu bara la Afrika?
nipo nasumbuliwa na mjomba wake BAK muda wote japokuwa mwenyewe anakataa hana uhusiano na bwana magufuli
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom