Timu zangu ni hizo hizo mbili mkuu sina nyingineBundesliga, Serie A, Ligue 1, TPL.
Nakushauri punguza idadi ya timu za nje ili ubaki salama.
Chagua timu moja nyingine zipende juu juu tu. Vinginevyo utalazimika kuwa na timu kila ligi kubwa kama nilivyoosha hapo juu na hiyo itakuletea usumbufu.
Hahah bro huu mtego sasaInaleta picha gani bro[emoji23]
Amin 🙏Hahahahaha, Mwenyezi Mungu atuepushie visanga vya aina hiyo kwenye familia zetu[emoji120][emoji120][emoji120]
AiseeSoma ... Knowledge is Power
🤣🤣🤣 Nilikupigia kwa jf call.. kumbe hukuamkaHahah! Gwajima tusubiri kesho tuone ni kipaji kweli au uzushi
Me niliamka muda wa daku umekaribia kuisha sasa kutoka chumbani mpaka jikoni nahisi nilitumia nusu sekunde......
Zile dash dash nyeupe chini maana yake niniNamba 3
Sikusikia nilikuta tu ujumbe wa jf kwamba nimemiss call 😀🤣🤣🤣 Nilikupigia kwa jf call.. kumbe hukuamka
Mary, Mother of Jesus Mosque also called Mariam Umm Eisa Masjid(Arabic: مسجد مريم أم عيسى ) is a mosque located in Al Mushrif, a central neighborhood in the city of Abu Dhabi, the capital city of the United Arab Emirates. It was built in 1989 as Mohammed Bin Zayed Mosque, and named after Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Crown Prince of Abu Dhabi. On 14 June 2017 Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan decided to rename the mosque to "Mary, Mother of Jesus Mosque". The change was done as an initiative exemplifying the values of co-existence among religions in the UAE.Kilicho nishangaza hapo ni Mary na Jesus kwanini isiwe Mariam na Issa? Hivyo tu
HahahaaSikusikia nilikuta tu ujumbe wa jf kwamba nimemiss call 😀
Good Afternoon to you.Good morning good people
Hata za bukoba za kachanganya na utumbo na kachumbariUkila Ndizi au Tango usivisifie utamu wao au ubaya wao
😁 Ilikuwaje?Nina kimbia sana kumbe naweza kuwakilisha Taifa katika mchezo wa kukimbia
Mmmesahau pia Kuna za moshi wanaitaga machalari ukichangany na kitu flan htr snHata za bukoba za kachanganya na utumbo na kachumbari