Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hawezi kuachika mbona maswali mengi.Vipi mzima wewe. Mbona umeshika tama umeachika??
Les Wanyika. Gitaa la solo safi na sauti safi. Classic!Hasira za nini wee bwana
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Wataka kuniua bure baba
Yule si wako
Nami si wangu
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Hahaha....unahisi nani..!?Tupo Baby S. Hivi ni nani aliunyakua moyo wako katika mpambano wa mijibaba siku ile? Nataka ku-update data zangu...[emoji23][emoji23][emoji23]
NaonaToa likes upate likes
5 likes from yu pulizi!5 laiki pulizi wajameni
Nimemuona sasa...Bado hujamuona
NdioWamekutana wapenda ubuyu ama?
SemaaUniq
Kuna watu hawajui hii kitu ni nini!Mhenga tu ataelewa hapaView attachment 535417
[emoji102] [emoji102]Naona
Yaani, threat hapo ni cocochannel maana...Kesho hiyo naona balaaa
Kula likeSema kamanda!
Ni kufanya kazi kwa bidii na kutokata tamaa!Mbinu ya mafanikio katika maisha