Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jamani Jakitoo sitembei naye mfukoni. Namwamini sana bebi wangu na yuko huru kufanya lolote atakalo as long as halitaniumiza wala kuhatarisha penzi letu. Mapenzi ni kuaminiana bana na siyo 24/7 mnachungana na kufuatiliana.Habari za jakitoo anaulizwa SHIMBA YA BUYENZE
Jakitoo kuna mtu anakuulizia huku njoo umjibu mama. Halafu uwahi chumbani kuna kitu nataka nikunong'oneze [emoji23][emoji23][emoji23]