Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nimerudi namiNimerudi
Nimerudi namiNimerudi
Ahaaa wewe ni ngaz yangu mkuuu
HahaahaaHajaachika. Aliamua kuacha mwenyewe. Ni hiki kijamaa kinachoitwa Kichwa Kichafu. Kinaumiza mioyo ya dada zetu sana. Kinawaingia kwa gia ya pete za uchumba halafu kikishaiteka mioyo yao kinahamia kwingine haraka. Saa hizi kinahangaika na totoz moja inayoishi Sauz baada ya kufanya madhara makubwa kwa Nsamaka, Carpa na akina dada wengine humu. Ni shida!
Sikujia kama KK ni mchafu hivyo alianza kupiga ndogo ndogo kwa GeJo. Hafai huyu mtu ngoja nitamtafuta.Hajaachika. Aliamua kuacha mwenyewe. Ni hiki kijamaa kinachoitwa Kichwa Kichafu. Kinaumiza mioyo ya dada zetu sana. Kinawaingia kwa gia ya pete za uchumba halafu kikishaiteka mioyo yao kinahamia kwingine haraka. Saa hizi kinahangaika na totoz moja inayoishi Sauz baada ya kufanya madhara makubwa kwa Nsamaka, Carpa na akina dada wengine humu. Ni shida!
Si jina refu tu.Jina refu kweli
Ndo maana. Welcome
Ngoja nikujaze like akili yako ikae sawaManinginini kula likes brother
Hahahahaha uzi ulinikuta na like 1
Hakuna nomaweka nyingine
Amekwisha rudi huyoRudiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikujaze like akili yako ikae sawa
Umesemaaa!!!!!Karibu unatufikia....nimefrahi kukuona
Hebu jaribu hivyo hivyoSkumbuki verse nyingine ntachapia
Kula likes mkuu asubuhi utakuta 97kNalala saa hizi,asbhi ikifika nataka nikute 96k so ongezen bidii
Ahsante nipo karibu japo umesha haribu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo ndugu yangu nimerudi
Ok...Tutajadili baadae ukiwa umetulia Sawa...