Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Prince William and his wife princess Diana[emoji102]
I thought Diana (RIP) was his mom
 
Jamani Jakitoo sitembei naye mfukoni. Namwamini sana bebi wangu na yuko huru kufanya lolote atakalo as long as halitaniumiza wala kuhatarisha penzi letu. Mapenzi ni kuaminiana bana na siyo 24/7 mnachungana na kufuatiliana.

Jakitoo kuna mtu anakuulizia huku njoo umjibu mama. Halafu uwahi chumbani kuna kitu nataka nikunong'oneze [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wazee wa kunyatia humu kaka[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom