Kwema kabisa ndugu yangu, habari ya mfungo ?Kwema ankoo??
Salama ankoo,mfungo upo poa,tunaendelea naoKwema kabisa ndugu yangu, habari ya mfungo ?
Ha ha ha k vant ya offer tenaKuna dada nimemsalimia "masibhota" kanijibu "Sina uwezo wa kukuzaa"
Nimekuwa mpole utadhani nasubiri Kvant ya ofa kutoka kwa mhudumu...
Nakuombea uvishinde vikwazo ankooSalama ankoo,mfungo upo poa,tunaendelea nao
Si unajua ofa inaweza kuahirishwa[emoji1][emoji1][emoji1]Ha ha ha k vant ya offer tena
Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uncle ujue umenikumbusha mbali sana [emoji23][emoji23]Kuna dada nimemsalimia "masibhota" kanijibu "Sina uwezo wa kukuzaa"
Nimekuwa mpole utadhani nasubiri Kvant ya ofa kutoka kwa mhudumu...
Nipo napambana kweli kweli ankoo,swaumu hii iko na majarbu mengi sana,mara gwajiboy,hamjakaa sawa mambo ya harris,,tabu tupu ankooNakuombea uvishinde vikwazo ankoo
Wapi tena mzee wa pwani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uncle ujue umekumbusha mbali sana [emoji23][emoji23]
Jibu zuri sana, kuna fursa hapo Bro.Kuna dada nimemsalimia "masibhota" kanijibu "Sina uwezo wa kukuzaa"
Nimekuwa mpole utadhani nasubiri Kvant ya ofa kutoka kwa mhudumu...
Ni kweli kabsa ankoo[emoji2][emoji2][emoji2]Si unajua ofa inaweza kuahirishwa[emoji1][emoji1][emoji1]