Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 777
- 2,273
bit coin ni wezi tu pesa zangu zilipotelea huko sina hamu naoBAADAE HIZO LIKES ZINAGEUKA BITCOIN AU TUTAZITOA KWA MPESA NINI??!!!
Ndio huyu asiokuwa na sumu! wala hang'ati?Joka la Kibisa View attachment 1094482
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro,hata ww unaniua aiseeVijana hao lazima wajue hiyo mitaa sababu kuna biashara maarufu pale wanaipenda sana
Sawa mkuuUwe unaweka na contact zao
bit coin ni wezi tu pesa zangu zilipotelea huko sina hamu nao
Ankoo umeniita mara tatu [emoji23][emoji23],,sawa ankoo ushauri wako nimeupokea,,hiyo mitaa naachana nayo ankoo hadi niwe mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]ninge ninge ninge.... Soma kijana wangu,elimu ni ufunguo wa maisha. Hayo mengine tuachieeee
Waaow shukrani sanaMwali wetu unapewa majina yote ni vile umekuwa mwema wa kila mtu.
Usinifanyie hivyo ujue ..Duh!
Nmeishi chang'ombe uhindini,hyo mitaa ni jirani na hayo maeneo yenu bro[emoji23][emoji23]Mitaa ya Sokota TMK, uliishi mitaa hiyo?
Nadhan ntazipata PMSawa mkuu
Ankoo umeniita mara tatu [emoji23][emoji23],,sawa ankoo ushauri wako nimeupokea,,hiyo mitaa naachana nayo ankoo hadi niwe mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Makende ya Mbuzi, zilikuwa zinachomwa na mzee furani miaka ya nyuma kwenye eneo hilo.
Wavulana walikua wanajazana kula Hashua za kuchoma
Aiseee,kumbe hashua ndio zipo hvyoMapumbu ya mbuzi.
Huwa yanachomwa yakichanganywa na maziwa(manyonyo) ya mbuzi jike
[emoji23][emoji23][emoji23]nmemsikia ankoo vizuriHahahahahaha.
Mwambie kijana huyo[emoji23][emoji23]
Hio nyingine anko ni siri kubwaa[emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante Ankoo, hiyo nusu nyingine sijui ni ya wapi vile ?