D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
unaweza kuwa na miguu minene kama ndovu lakini ikawa na muelekeo wa kibinadamu, mguu wa msichana umejaa kucha na mavumbi kama mwanamume wa MARASisi wenye miguu kama Tembo tunakomenti wapi?
Kwa gwajima[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi wenye miguu kama Tembo tunakomenti wapi?
Kwahiyo unashauri nianze kuvaa?
Hahaha kwa kweliKwa gwajima[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee,,sema ankoo kaniambia nisome kwanza,nisijarbu mambo ya gwajiboy,,nisije kula ada yote[emoji23][emoji23]Shaurilo akina gwajiboy wanazindua tu kila day ukiwa mkubwa utakosa vingi vinono[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alisikika mlevi mmoja akiropoka mwenyewe kitaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
unaweza kuwa na miguu minene kama ndovu lakini ikawa na muelekeo wa kibinadamu, mguu wa msichana umejaa kucha na mavumbi kama mwanamume wa MARA
mh wewe unanipeleka chaka wewe!Mie nijuavyo ni urembo tu kama una Teflon huogopi maneno ya wakosaji why not especially if you like vikuku na vibata πππ
[emoji23][emoji23][emoji23]gwaji mjanja pale anatoa pepo bure bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,,sema ankoo kaniambia nisome kwanza,nisijarbu mambo ya gwajiboy,,nisije kula ada yote[emoji23][emoji23]
Hapa Davet atapata tabu saana!!
Ha ha ha haunaweza kuwa na miguu minene kama ndovu lakini ikawa na muelekeo wa kibinadamu, mguu wa msichana umejaa kucha na mavumbi kama mwanamume wa MARA
mh wewe unanipeleka chaka wewe!
Sanaa .Hivyo eh! Ana ugonjwa wa miguu kama hii eh!
unaweza kukuta huyo kuku amejaa dawa za mganga, kuna siku nilichukuliwa ugangani kabla ya mechi niliyoyashuhudia ilikuwa ni kimbembe.Wakati mechi inaendelea kuna masela walimuiba kuku wa zawadi na kutokomea naye mbali, walipata mpenyo huo wakati wa shamra shamra za ushangiliaji zikiendelea baada ya Kajificheni United kuongoza kwa bao 1-0.