[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanasema sio yy yule,watu wameedit tu[emoji23][emoji23][emoji23]gwaji mjanja pale anatoa pepo bure bure[emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani ni masharti mazito ya huo utajiri yanakimbiza wengi kuwa mamilioneaunaweza kukuta huyo kuku amejaa dawa za mganga, kuna siku nilichukuliwa ugangani kabla ya mechi niliyoyashuhudia ilikuwa ni kimbembe.
hongera kwao waganga wote.
sielewi kwa nini ile kazi haitoi mabilionea wakati ndio watibuji wakuu wa matajiri
umbile zuri kanywimwa miguu
Mtaalamu wetu kasema ni yeye hivyo aache ujinga hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanasema sio yy yule,watu wameedit tu
Muumba mwenyewe anajua bro ila ni wivu tu na swaumu zetuHapa Davet atapata tabu saana!!
kuna mganga mmoja ana uwezo wa kutatua tatizo la wavuvi kushindwa kuvua samaki wengi, nimebaki najiuliza kama kuvua ni rahisi si atafute mtumbwi au kidau akavue.Nadhani ni masharti mazito ya huo utajiri yanakimbiza wengi kuwa mamilionea
Ha ha ha ha aiseeMtaalamu wetu kasema ni yeye hivyo aache ujinga hahahaa
HahahaaWakati mechi inaendelea kuna masela walimuiba kuku wa zawadi na kutokomea naye mbali, walipata mpenyo huo wakati wa shamra shamra za ushangiliaji zikiendelea baada ya Kajificheni United kuongoza kwa bao 1-0.
Mganga hajigangi,ukiona yupo anayejiganga jua ni tapeli tukuna mganga mmoja ana uwezo wa kutatua tatizo la wavuvi kushindwa kuvua samaki wengi, nimebaki najiuliza kama kuvua ni rahisi si atafute mtumbwi au kidau akavue.
anadhani wakojani ni wazembe wanaposhindwa kupata samaki
nilikuwa sifahamuMganga hajigangi,ukiona yupo anayejiganga jua ni tapeli tu