nimekaa na mdogo wangu wa kike bahati nzuri ana miaka 4, alhamdulillah hajaona chochote kifikra japokuwa kwa macho ameona.
huyu ndio BAK ninayemfahamu, nashangaa siku nyengine anapost habari za kutangaza neno la gwajima
[/QUOTE]Na nani Mkuu?
QUOTE="capitalpool, post: 31425832, member: 454811"]
KAma namfananisha hivi,
Okay!
Alikuwa fundi sana uyo bwana mdogo kutoka ufaransa lakini alikwenda arsenal nyakati mbaya.Jeremie Aliadiere (Arsenal)
Jeremie Aliadiere alikuwa kwenye kiksoi cha Arsenal kwa miaka sita, lakini muda mwingi alikuwa kwenye benchi tu. Straika huyo alifunga bao moja tu katika mechi 29 alizochezea Arsenal ile iliyokuwa chini ya Arsene Wenger.
majibu yako yananifurahisha sana hususani kwa jambo usilolipenda.Hapana Mkuu mie na Gwajima wapi na wapi? Tapeli tu huyo aliyewakusanya wapumbavu sasa wanamtajirisha kila uchao. Wajinga ndiyo waliwao.
kuna nyakati everton walitaka kutuuzia kwa pound millioni 25, bahati nzuri balaa likawakumba majirani zetu wa etihadJack Rodwell (Man City)
Kinda wa Kingereza, Jack Rodwell wakati anakua wengi waliamini kwamba angekuwa kitu kikubwa sana kwenye soka la nchi hiyo.
Hahah eti hashua aah! Wale lazima waelewe sindio maeneo yao hayo sema hawana nomaNa wale wazee,wazee wa mambo ya hashua,,wameelewa vizuri tu[emoji23][emoji23]
Mdada mmoja anapatikana sana MMUKule kuna wazuri wengi sana tena wazuri kweli Mkuu.
QUOTE="capitalpool, post: 31425895, member: 454811"]