Ni kwa sababu hakuna sifa za kijinga humu ndiyo maana pametulia...Kumetulia sana humu mpaka raha
Nyimbo safi kabisaLes Wanyika. Gitaa la solo safi na sauti safi. Classic!
Nawe piaNawatakia usiku mwema wapenzi katika Bwana.
Usiku mwem na kwako piaNawatakia usiku mwema wapenzi katika Bwana.
Mbona Baby S anaonekana mpole mpole tu hana maneno mengi. Mambo yakimzidia anasingizia macho yanamuuma huyoo anakwenda zake.Ndio
Data nimeshazipata. Ndo mmetoka kwenye fungate. Hongereni!Hahaha....unahisi nani..!?
Toa likes
Toa likes upate likesNi kwa sababu hakuna sifa za kijinga humu ndiyo maana pametulia...
Cheko lako sasa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu upo? Nasikia mmerudiana na dadangu Nsamaka? Tulia sasa na acha michepuko kabisa. Mambo ya michepuko mwachie Kichwa Kichafu!Cheko lako sasa....
Nawana nyatia kweliKuna wazee wa kunyatia humu kaka[emoji23][emoji23]
Kichwa kichafuHahaahah love