[emoji23][emoji23][emoji23]mwenyewe ulijitambulisha.[emoji23][emoji23]Hadi mwezi unaisha ntakoma kwa utitiri wa majina
HahahahaAhsante Ankoo, hiyo nusu nyingine sijui ni ya wapi vile ?
[emoji23][emoji23] uncle zile zinaitwa hashua, mbona unazivunjia heshima[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Mapumbu ya mbuzi, ila yawe ya kuchoma sio ya kuchemsha(supu)...
Akikatwa katwa, kisha akapikwa, ukawekewa mezani utamla tu, kesho ndiyo utaonyeshwa picha ya huo mbichwa wenye msumeno[emoji1787][emoji1787]Uwiiiii... simli hata..
Hahaha, uje hapa TMK sokota uyaonje.Dah.. Matamu eeh?
Hahahaha[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ankoo unanichosha na maswali yako. Ndiyo, ni matamu na yanaongeza nguvu za kiume. Usirudie kuuliza nimejibu yote.
[emoji23][emoji23]ili iweje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aha! Nilichotaka kujua umejibu...
Vijana hapa wakayafakamie!
[emoji16][emoji16]ndiyo huyoNdio huyu asiokuwa na sumu! wala hang'ati?
π€£π€£π€£π€£ Aha! Nilichotaka kujua umejibu...
Vijana hapa wakayafakamie!
Anatisha hatariAkikatwa katwa, kisha akapikwa, ukawekewa mezani utamla tu, kesho ndiyo utaonyeshwa picha ya huo mbichwa wenye msumeno[emoji1787][emoji1787]
Mmh..Hahaha, uje hapa TMK sokota uyaonje.
Ukionja hutaacha[emoji1787][emoji1787]
MmmhHahaha, uje hapa TMK sokota uyaonje.
Ukionja hutaacha[emoji1787][emoji1787]
HashuaKuyafakamia manini!?
Basi sawa!Dar Chalinze itakuwa hivi..View attachment 1094641
Wakue[emoji23][emoji23]ili iweje
Some serious icing!