Safi sanaLiverpool imetinga hatua hiyo ikiisukuma nje kibabe Barcelona, wakati Spurs nayo ilifanya hivyo hivyo kwa Ajax, huku Arsenal ikipita kirahisi mbele ya Valencia, wakati Chelsea ilihitaji ushindi wa penalti mbele ya Eintracht Frankfurt, mambo ni moto. Bato la Waingereza tupu kwenye fainali za Ulaya msimu huu.
Fainali za malkia wa UingerezaFainali moja itapigwa Madrid, Hispania Juni Mosi, wakati nyingine itakuwa huko Baku, Azerbaijan Mei 29.
Taji la England gumu sanaWAKATI mwingine maisha huwa hayatendi haki. Cheki mastaa matata kama Steven Gerrard na Gianfranco Zola wametamba sana Ligi Kuu England, lakini hakuna hata mmoja aliyefanikiwa kubeba taji hilo. Liverpool inasumbuka kwa miaka kibao tangu ligi hiyo ilipoanza, licha ya kuwa na mastaa kibao kwenye kikosi chao, wameshindwa kubeba taji hilo.
Nahisi njaa ndio tatizoView attachment 1095052
baadhi ya nyakati unaweza kujikuta unatamani ni bora uzae paka anaweza kukupa msaada kwenye pambano lako dhidi ya panya
“To a hungry person, every bitter food is sweet. When the preferable is not available, the available becomes preferable!”Nahisi njaa ndio tatizo
“Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.”Labda yamemfika shingoni ya kuona mwanawe kipenzi anavyodhalilishwa huku dikteta akiwa kapiga kimya.
Hahahahaha, zipoHizi barabara kweli zipo au wataalamu wamezigwajima tu?
Hakika pia kupenda Kitonga tu“To a hungry person, every bitter food is sweet. When the preferable is not available, the available becomes preferable!”