teh teh teh TISS wako wapi?
Le stupid , you knowView attachment 1095052
baadhi ya nyakati unaweza kujikuta unatamani ni bora uzae paka anaweza kukupa msaada kwenye pambano lako dhidi ya panya
teh teh teh TISS wako wapi?
au jamaaa anaishi kule kwa da mange?
akirudisha kumbukumbu baada ya kipigo watumwa wote wa MUNGU wameshaingia peponi
😀😀😀
anajifanya mjinga na mara nyingi mjinga huzeeka na ujinga wakeLe stupid , you know
Ni kweli mi pia naipa nafasi kubwa Man City kutetea taji lake ingawa chochote kinaweza kutokeaMANC has “easier” game as compared to YNWA, therefore my prediction MANC will repeat but in football anything can happen to surprise fans, players, team owners and even coaches. Game of the day Liverpool VS Wolves.
miaka 7 iliopita man city alichukua ubingwa siku ya mwishoNi kweli mi pia naipa nafasi kubwa Man City kutetea taji lake ingawa chochote kinaweza kutokea
Habari za weekend wadau