😀Mmeumia leo jamani... poleniSad hadi card wanatuchapa tena laivu laiv hapa daah
HahahaaaUmeona mkuu[emoji23][emoji23]
Mtoto geti kali, mambo safi, mboga saba.[emoji23][emoji23]
Kwa hivyo unataka kusema uli mind kweli??No worries
Eti mboga saba..Umeona mkuu[emoji23][emoji23]
Mtoto geti kali, mambo safi, mboga saba.[emoji23][emoji23]
Hizi sababu za kitoto sana!
Kila mtu anajua ujinga wa Awamu hii.
Juzi nmeona clip Yule DC wa Iringa anamuweka ndani investor! Nika shangaa!
Zipo sababu nyingi mnoo za kiutawala.
Alafu kuhusu rushwa .. serikali hii si inajiita mbabe wa kubana mianya??
Kwani ukiwa unagwaji halafu the girl screams somebody else's name utamind kweli?Kwa hivyo unataka kusema uli mind kweli??
Doh![emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
You have beautiful Kids Capitalpool..
You reaction made me make a U turn!Kwani ukiwa unagwaji halafu the girl screams somebody else's name utamind kweli?
Umezionea wapi wewe Numbisa?Na six pack kama ya capitalpool
Mama yao kwao manyara!You have beautiful Kids Capitalpool..
Mama yao mzungu au Muarabu?
Huh?You reaction made me make a U turn!
That was from the uvungu wa kitanda changu to You!
Aisee wana nywele nzuri sana wa Manyara eeh..Mama yao kwao manyara!
Kwani ukiwa unagwaji halafu the girl screams somebody else's name utamind kweli?
Very Very Beautiful ..Aisee wana nywele nzuri sana wa Manyara eeh..
Kiswahili hukua😁“Unagwaji”! Hiki Kiswahili hiki, mmh! [emoji1][emoji1]