Sana mkuu mimi kitaa ni ipogolo kwa mwagongo moja dah bangkok msala kaka mixr cha songea unakua kama upo uswisi hivi Pamoja sana ndugu,halafu watu wanakandia huu uzi wakati sisi wengine unatufikirisha sana. "Kijani beach" pale Ndiuka unachukua kitu daah noma sana unapanda mlimani kufanya...
Wakuu bila kupoteza muda, Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera. Haina ubishi, hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa na google wenyewe Utakubaliana na Mimi kama tu umeshawahi tumia simu zao za pixel, zile simu...
Nianze kwa kusema sehem ninayoishi nina miaka mi 3 ila sijawahi kuingia kwenye nyumba anayo ishi mwenyenyumba wala vyumba ya watoto wake na sina hiyo tabia na ndio maisha niliyo chagua.. Pia mimi kwa kipindi chote cha miaka mi tatu (3) sijaruhusu mwanafamilia yoyote wa mwenyenyumba kuingia...
Ahmad bin Na'aman Al Kaabi (born between 1784-1790), the first #Zanzibar emissary to the United States, sent in 1840 by Sayyid Said bin Sultan, Sultan of Zanzibar and Oman, with the new Bombay-built ship, Al-Sultanah. He presented various gifts to President Martin Van Buren.