D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
yaani tunamfanya MUNGU kama ni mkuu wa kitengo cha TISS kinachoongozwa na mtumshi mkuu bwana BAKKuna haka kajitabu kama mtazamo kama wako yani kinapinga kila adhabu inayosemekana Mungu atatupa ikiwepo kuchomwa moto kwamba Mungu hawezi kua katili kiasi hivyo....
View attachment 1095749
Kiumweli kuna vitu unaweza kuhisi haviko sawa lakini ndio hivyo tumewekewa mipaka sana.
Pole kwa kuumwa Macho mkuu
Ha hahMan U fans mna raha sana kwa sasa yani mpo flexible kuitania au kuishabikia timu yeyote mnayotaka
😀😀😀yaani tunamfanya MUNGU kama ni mkuu wa kitengo cha TISS kinachoongozwa na mtumshi mkuu bwana BAK
Nawaombea sana mrudi katika ubora wenu maana nyie ndio mlikua wapinzani wa kweli kwa City, hamkuweza kuruhusu utetezi wa ndoo kama wapinzani wa sasaHa hah
Mashabiki wengi pia wa mpira wa miguu wamesikitika sana MUFC kuikosa CL!
United ni Club kubwa na radha yake pia katika ligue!
Mtatumiss sana msimu ujao😀😀