D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
poleni sanaHahahha Man u wametuweza kweli msimu huu.
Kucha ileeeeeKuna haka kajitabu kama mtazamo kama wako yani kinapinga kila adhabu inayosemekana Mungu atatupa ikiwepo kuchomwa moto kwamba Mungu hawezi kua katili kiasi hivyo....
View attachment 1095749
Kiumweli kuna vitu unaweza kuhisi haviko sawa lakini ndio hivyo tumewekewa mipaka sana.
Pole kwa kuumwa Macho mkuu