Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Muda si mrefu na mimi ntaanza kusikiliza zile ngoma zetu za kina Sisqo
Hahah! Coder kaamua kukustiri tu
Kumbe humu ndani watu wenye uraia wa nnchi mbili wapo wengi kasoro mimi tu...
Hahahah! Ndio juzi mimi nilikua namuambia asilaze damu watu watapindua matokeo asiaminiNamuonaga kule kwenye Falme yake achangamke sasa asiwe kama Lukaku Bolingoli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilijua lazima umtetee Sisqo,Hapa sasa unafeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisqo anajua sana
Hahahah! Ndio juzi mimi nilikua namuambia asilaze damu watu watapindua matokeo asiamini
ha ha haHahah! Coder kaamua kukustiri tu
Kumbe humu ndani watu wenye uraia wa nnchi mbili wapo wengi kasoro mimi tu...
Kama Ronald itapendeza zaidi bro[emoji2]Mimi nakuombea ufanikiwe Tu kama Messi vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah! Ndio juzi mimi nilikua namuambia asilaze damu watu watapindua matokeo asiamini
Uzalendo muhimu bro ila matembezi mara moja moja sio mbaya sema jamaa kachukua uraia na soon intermarriage inahusikaMimi na wewe tupo sawa Mkatalunya
Ameshanipatia maujuzi baadhi,nipo nayapitia[emoji2][emoji2]Akiona vipi awe anacheck clip zako unavyo nyanyasa mabeki wa timu pinzani apate maujuzi
Hahahha Man u wametuweza kweli msimu huu.