Leo futari kwako 😉
Sijambo shikamoo dada!
Niaje bro??harakati vp huko
Nisaidie kama utakuwa na ngoma ya One incredible ft Songa,Six O'clock - Ni Leo Tu
Siji tena kwako,Labda uje ule viporo.
Niaje bro??harakati vp huko
Nisaidie kama utakuwa na ngoma ya One incredible ft Songa,Six O'clock - Ni Leo Tu
[emoji2][emoji2]Jamani hamjanionea baby brother wangu?
[emoji2][emoji2]
Lovely sister!!Assalyam alyekum,,habari za siku??
Inapendeza Bro!!kikubwa UhaiKwema Bro pande hizi powa tunasukuma Gurudumu
Siji tena kwako,
Alhamdulillah,swaumu inaenda vizuri kabsa,vipi kwako??Waalayka salaam,nzuri Alhamdulillah Za swaumu.