Nita futuru kwa Hawachi. Huko siji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uje tu .
Salaam Pyaar[emoji120][emoji120][emoji120],
Alhamdulillah,swaumu inaenda vizuri kabsa,vipi kwako??
Btw..
Miss you sister[emoji8]
Nita futuru kwa Hawachi. Huko siji.
Shukrani bro!![emoji109][emoji109]
Hivi upo serious?Na siku nikipika mahanjumati sikuiti.
Hivi upo serious?
Nilikua natania bhana 😀 😀Eeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hamna kulia lakini.
Nilikua natania bhana 😀 😀
Ningekuja kula kiporo sema kuna dharula! Niite siku nyingine ukipika mahanjumati😎
Alafu usipotee sana buana😕 Nikukosa sana!!Eeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hamna kulia lakini.
Alafu usipotee sana buana😕 Nikukosa sana!!