capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kuhusu mdogo wako.. ile salamu nilitania! Najua unajua vile nilivyo muhenga.Usijali mdogo wangu.
Kuhusu mdogo wako.. ile salamu nilitania! Najua unajua vile nilivyo muhenga.Usijali mdogo wangu.
Vitumbua Saba na chai ya mchaichai😂😂😂,vyengine huwa unampa nyau?😛
Nmekuelewa Farkhina usijali.Nitajitahidi, nakua busy nalea [emoji3][emoji3][emoji3].
Kuhusu mdogo wako.. ile salamu nilitania! Najua unajua vile nilivyo muhenga.
AhsanteBasi ntakuamkia wewe[emoji23][emoji23][emoji23],mana bichwa lilikua kubwa nimepewa shkamoo [emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitumbua vitamu kama vyako natafuna tu [emoji12][emoji12][emoji12] bila ya kusahau chapati zako tamu na laini.
Me sijui kupika vitumbua ivo,nlipika once by a unga wa mchele ila siku nlivopika vya mchele wa kuroeka vilikua uji shahidi yangu mkwe wangu THOMASS SANKARA 🤣🤣🤣
Weye hujui kupika vitumbua? Tangu lini? Ila vile vya mayai mie si mpenzi sana.
[emoji12][emoji12][emoji12]
Weye hujui kupika vitumbua? Tangu lini? Ila vile vya mayai mie si mpenzi sana.
[emoji12][emoji12][emoji12]
MashaAllah lovely sister,nimefurahi kusikia hivyo[emoji120][emoji120]Miss you more baby brother,me naendelea vizuri Alhamdulillah.
MashaAllah lovely sister,nimefurahi kusikia hivyo[emoji120][emoji120]
Au nyama? Enhe ile pilipili bado unatengeneza ile ya embe?
Shukrani sana!!Mimi pia,Ubarikiwe baby brother.
Bado aisee mie chakula bila pilipili sifurahii. Naipenda zaidi ya embe kuliko ya ukwaju.
Hii hapa ni kiboko piaView attachment 1098502
Apo kuna lemon una peel maganga
Pilipili,tangawizi,green apples,kitunguu thomu na chumvi.
First unaweka olive oil au mafuta yoyote kwenye pan alafu unaweka izo ingredients then unaweka vinegar kiasi.
Unafunika for 5 minutes,unawacha ipoe then una blend.
Wageni wako wapenda pilipili uwanunulie na vitanda 🤣🤣🤣
Nitaitafutia nafasi hii nichakarike nayo.