Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1557677306679.jpeg
 
basi huku kwetu zanzibar utawasikia kina mama
hebu niletee mbuzi ya kukunia nazi

si rahisi kumsikia mwanamke akitamka kibao chambuzi na kama huamini fanya zoezi la kutembelea nyumba kwa nyumba visiwani zanzibar.

kibao chambuzi.
mhhhhhhhhh mara yangu ya kwanza kulisikia hilo jina
 
Kama unapendelea kutuma taarifa muhimu na nyeti kwa kutumia mtandao wa WhatsApp, kutuma picha au video, sasa unapaswa kuuhuisha (update) katika simu yako ya mkononi baada ya wadukuzi kufanikiwa kujipenyeza.
 
Lakini jana, wamiliki wa mtandao huo wametahadharisha kuwa kuna hatari ya kudukuliwa kutokana na kuwepo na taarifa za maharamia wa kimtandao (hackers) waliovamia mtandao huo ambao una watumiaji zaidi ya bilioni 1.5 ulimwenguni kote
 
WhatsApp inahamasisha watu kuhuisha toleo la mwisho la programu katika simu zao sanjari na kuhuisha mfumo wa simu zao ili kuepuka mpango wa udukuzi uliopangwa dhidi yao, lakini pia kulinda taarifa zao binafsi,” imeeleza taarifa iliyonukuliwa na AFP.
 
Taarifa za mwanzo za kuwepo kwa hofu ya kudukuliwa kwa mtandao huo ziliripotiwa na tovuti ya Financial Times ambayo ilieleza kuwa mbinu inayotumika ni mlengwa kupigiwa simu au kutumiwa ujumbe ambapo utaambatana na virusi ambavyo vitasaidia udukuzi huo.
 
Hata hivyo, jana taarifa ya NSO ambayo imewahi kutuhumiwa kushiriki tukio la udukuaji wa taarifa za mwanaharakati wa Umoja wa Falme za Kiarabu mwaka 2016, imeeleza kuwa leseni yake ni kutengeneza mifumo ya kuisaidia Serikali kupambana na uhalifu.
 
Back
Top Bottom