capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Okay ahsante Bro, ameongea vizuri sana!Gary Neville meets Patrice Evra to discuss the state of Manchester United
main points
- Spirit and passion for the club is lacking
- Said few players don't even know why they are here
- Lack leadership in the dressing room
- Apart from Pogba and De Gea none of them are good enough to play for Madrid, Bayern, Juventus
- Said Sanchez only signed for money.
- Fans are killing Pogba citing the fan incident after Cardiff.
- Thinks Pogba will leave, said when you have negativity around you, you should leave
- Ruled himself out for any role at Manutd
- We have to appoint right DoF, don't want Manutd to become like Milan, Liverpool, Arsenal to wait many years to get back to the top.
- Future doesn't look bright.
Masihara hayo bro[emoji2][emoji2][emoji2]Kumbe ilikuwa hivyo, watanyakua ubingwa mwaka huu
Hahaha ngoja tupambane broYanga baada kukosa uwakilishi kupitia Kombe la FA, wameamua kuweka silaha zote kwenye ubingwa wa ligi ili wanyakue ubingwa angalau mwakani waiwakilishe nchi [emoji23][emoji23]
Fragaria pitia hapa tafadhali,Hii hapa ni kiboko piaView attachment 1098502
Apo kuna lemon una peel maganga
Pilipili,tangawizi,green apples,kitunguu thomu na chumvi.
First unaweka olive oil au mafuta yoyote kwenye pan alafu unaweka izo ingredients then unaweka vinegar kiasi.
Unafunika for 5 minutes,unawacha ipoe then una blend.
Wageni wako wapenda pilipili uwanunulie na vitanda 🤣🤣🤣
Hii ni huko huko tu,bongo hapa,milio ya paaa lazima ihusike
Ha hahHelow helow! Wats up?
Safiiii.. ntapika keshoHii hapa ni kiboko piaView attachment 1098502
Apo kuna lemon una peel maganga
Pilipili,tangawizi,green apples,kitunguu thomu na chumvi.
First unaweka olive oil au mafuta yoyote kwenye pan alafu unaweka izo ingredients then unaweka vinegar kiasi.
Unafunika for 5 minutes,unawacha ipoe then una blend.
Wageni wako wapenda pilipili uwanunulie na vitanda 🤣🤣🤣
Ni elimu tuu na raia kujua haki zao! Huyu raia anajiami akijua polisi hana ruhusa ya kufyatua risasi!Hii ni huko huko tu,bongo hapa,milio ya paaa lazima ihusike