capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Unajua tunapishana kidogo kwenye siasa naona anakaa kwenye msitari sasa hivi korosho imemtesa kidogoMkuu,ww ndio mwenyew taarifa sahihi za The One and only alipo
Hope huko alipo awe mzima wa afya tele ni majukum tu ya hapa na pale yawe yamembana
Amun Ra[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha sijaona hiyo clip mkuuLeo mmetuamlia,,nmetoka kuona kiclip flan hv,,jamaa anauza jezi za virabu mbalimbali,,imefika muda anasema jezi ya man u nagawa bure,watu wakawa wanakimbia[emoji23][emoji23][emoji23]
It means hata jezi ya bure ya man u hawataki,,nmecheka sana
Ok sawa mkuuUnajua tunapishana kidogo kwenye siasa naona anakaa kwenye msitari sasa hivi korosho imemtesa kidogo
Amun Ra
Hope itakufikia tu mkuu,inachekesha sana,,jamaa kafikia kuuza jezi ya man u hadi shilingi mia moja lkn watu,wapo kimyaHahahaha sijaona hiyo clip mkuu
Hahahaha sijaona hiyo clip mkuu
Umepata futari? Nilikutafuta sana hukuoneka hapa!
Nakulaga ugali. Wewe ulipoteaUmepata futari? Nilikutafuta sana hukuoneka hapa!
Hahahaha sijaona hiyo clip mkuu
Usile ugali kipindi hiki Cha Mwezi mtukufu tafadhali .. Kula futari!!Nakulaga ugali. Wewe ulipotea
Itabidi niitafute kwa matumizi ya baadaye hahahahaHope itakufikia tu mkuu,inachekesha sana,,jamaa kafikia kuuza jezi ya man u hadi shilingi mia moja lkn watu,wapo kimya
Jamaa ikabd aseme manchester bure,watu wakatimua mbio[emoji23][emoji23][emoji23]