Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Futari sishibi.Usile ugali kipindi hiki Cha Mwezi mtukufu tafadhali .. Kula futari!!
Nilipotea wapi? Kwani ulinitafuta??
Hahaha nmeziweka hapa tayaliItabidi niitafute kwa matumizi ya baadaye hahahaha
Ha hahFutari sishibi.
Sikukutafuta ila sijakuona kwa muda flani hivi
Si unajua mimi mgeni hapa, bado sijazoea, nikizoea utaniona sanaHa hah
Hutakiwi kushiba sana hata hivyo hua tuna Daku pia baadaye.
Ukiona nimepotea ujue nimefata futari!!!
Sawa lakini haihitaji uzoefu sanaa ...Si unajua mimi mgeni hapa, bado sijazoea, nikizoea utaniona sana
Asante. Utaniona sanaSawa lakini haihitaji uzoefu sanaa ...
watu ni hawahawa nafurahi sana kukuona hapa pia.
Karibu sana Cookie 🙂Asante. Utaniona sana
Mrembo nakusalimia
Asalaam Aleykum Hawachi..Mrembo nakusalimia
Lala unonoKaribu sana Cookie 🙂
Nakutakia usiku mwema.
Nimeona mkuu ngoja niwachokoze kwenye Uzi waoHahaha nmeziweka hapa tayali
HahahahaHahahaha ni kweli tumefikia kiasi hiki,,anafaa kuiona binti mpole hii Numbisa