Humu? wari wenyewe wako wapi?Wengine hudhani wakija hapa ni kama wametembelea danguro kujitwalia wanawari[emoji849][emoji849][emoji41]
Muwe mnamtaja na jina lake maana hamchelewi kutuchanganya wote na huyo shwaini wenu. Maparachichi tunayo[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]Pipette
wow! Amazing
Hahaha Ankooo...Muwe mnamtaja na jina lake maana hamchelewi kutuchanganya wote na huyo shwaini wenu. Maparachichi tunayo[emoji1][emoji1]
Hahah! Anasisitiza watoto wa wahindi ndio wasome kwabidii[emoji23][emoji23][emoji23] ada alipeleka kwa muhindi huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]#bodyguard wa hawachi kazini
Utoto mwingi sana. Picha ya kwenye avatar ndo yakumfanya asimamishe kifilifili kweli ?Wengine hudhani wakija hapa ni kama wametembelea danguro kujitwalia wanawari[emoji849][emoji849][emoji41]
Kujihami muhimu [emoji1][emoji1][emoji1]Hahaha Ankooo...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Utoto mwingi sana. Picha ya kwenye avatar ndo yakumfanya asimamishe kifilifili kweli ?
🖐Nipe tano
Daz
Njema .. Karibu sana.Habari za humu ndani wakuu
Maparachichi ya mwakaleli yapo Ankoo?Kujihami muhimu [emoji1][emoji1][emoji1]
Nipo ankoo,hiyo mitaa ile siku ulinikataza,,sijapita tena huko[emoji2][emoji2]Haya na wee wa mitaa ya Sudan vipi [emoji1][emoji1][emoji1]
Ndio ankooo,mfungo unaenda vyema kabsa,,aunt na ndugu zangu wengine hawajambo huko?Mi mzima kabisa Ankoo, vipi mwezi mtukufu unaenda inavyo takikana ?
Duh!😸😸😸😸Numbisa am your husband in law ujue tulia
Hahahahaa anko banaMuwe mnamtaja na jina lake maana hamchelewi kutuchanganya wote na huyo shwaini wenu. Maparachichi tunayo[emoji1][emoji1]