Ankoo nilikuwa nasinzia mara notifikesheni hiyoo... Kuchungulia ni binti yangu asiye tabirika kakopa mechi ya Hawachi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahahahaa anko bana
[emoji23][emoji23][emoji23]anko banaAnkoo nilikuwa nasinzia mara notifikesheni hiyoo... Kuchungulia ni binti yangu asiye tabirika kakopa mechi ya Hawachi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wacha weeh! 😀Nenda kamwambie jinsi nnavyompenda
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ndo maana sugu fasta kapata ka mwakishawn kake
Aisee hatariiii... Sio kwa hali hiyo!Mwakaleli kwa hali hii ya mchana wa saa sita parachichi linatutumka kweli kweli... Usiombe ukatamani kulimung'unya... Haya Ankoo, yapo,karibu View attachment 1099749
[emoji3]Ndo maana sugu fasta kapata ka mwakishawn kake
Don't try at me. Nipo mwepesi kuliko Éric Omondi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shu shu shuuuu.. ufanyie kazi eneji hiyo Ankoo..
Nilikuwa nasoma biblia, si unajua macho hayana urafiki na hicho kitabu ? Kwenye likes sasa , mpaka asubuhi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]anko bana
Huo usingizi sio wa karne hii bado mapema sana
Masangati pana hashua siku hizi ?Nilienda kuulizia kama wameandaa Hashua ankoo[emoji2][emoji2]