capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Beautiful Roses πΉπΉπΉπΉ
Kutumika? Hapana,mazingira haya yanaruhusu kuwa na jiko la mkaa,Biblia/msahafu,ndizi za kuchoma huku una sindikiza neno kwa Kvant au Konyagi bila matatizo yoyoteAisee hatariiii... Sio kwa hali hiyo!
Hapo lazma utumike
Ni ya kuchora photoshop au real?
Alishawahi kuniazishia uzi,nashangaa analeta uwongo wake hapa hii avatar yangu ambayo toka niweke ina miezi 2 anacho nikera kila jukwaa akiona comment yangu linaandika njoo inbox huyu kaka vipi hajui kuheshimu watu nilishamwambia simtaki.Kijana jiheshimu,kama unataka ligi nenda uzi mwingine mfyuuu zako
Sura kama umejambewa
[emoji2][emoji2]ankoo upo vizuri,kona zota unazikumbuka vyema badoMasangati pana hashua siku hizi ?
Mitaa yetu na Msuku enzi hizo
Hahahaa Kamwambie sasaWacha weeh! π
πππNamshukuru Mungu nipo vizuri ndugu yangu
π Moudy bwana.. Mimi kama kinyago cha MpapureKama wewe, watu wanaweweseka bhana[emoji41][emoji41][emoji41]
Usijali lazima aambiweHahahaa Kamwambie sasa