myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Na nyuzi zake nyingi za ajabu ajabu sana. HajielewiAlishawahi kuniazishia uzi,nashangaa analeta uwongo wake hapa hii avatar yangu ambayo toka niweke ina miezi 2 anacho nikera kila jukwaa akiona comment yangu linaandika njoo inbox huyu kaka vipi hajui kuheshimu watu nilishamwambia simtaki.
Hahaha tupo wengi tena kanakuja ka usingizi ka tamuNilikuwa nasoma biblia, si unajua macho hayana urafiki na hicho kitabu ? Kwenye likes sasa , mpaka asubuhi[emoji1][emoji1][emoji1]
@ukhutyWrite your reply...wazim humu
Aisee yuko na akili sana huyo bibie. Tupia kapicha kake tuone.A Nigerian female student named Tobechukwu Tobi Phillips recently made Nigerians proud by breaking all barriers to become the first Black valedictorian in Alvin High School’s 125 year history. She outdid herself by earning a 6.9 GPA on a 4.0 scale.
AiseeAlishawahi kuniazishia uzi,nashangaa analeta uwongo wake hapa hii avatar yangu ambayo toka niweke ina miezi 2 anacho nikera kila jukwaa akiona comment yangu linaandika njoo inbox huyu kaka vipi hajui kuheshimu watu nilishamwambia simtaki.
Usiwe na shaka watu ambao wanadum kwenye Uzi huu ni wagum tena ngum kumeza.Kama kuna member nimemkwaza kwa comments zangu sorry huu mwenzi wa toba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani hichi kichaka tulichojificha sio poa sometimes kinaboa mana kuna vimtu unatamani ata kuviona uhalisia wao ila huwezi kama haka ka Numbisa
Sinzia kiugumHivi sleeping tightly maana yake nini?