Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante Mungu kwa hili pito pia ninalopitia, hakika kuna makusudi yako. Ni ngumu sana kujiandaa kisaikolojia kumwondoa akilini msichana pekee unayempenda. Nakupenda sn P but naona kila aina ya dalili za kuvunjika kwa penzi letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…