Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu upo? Nasikia mmerudiana na dadangu Nsamaka? Tulia sasa na acha michepuko kabisa. Mambo ya michepuko mwachie Kichwa Kichafu!
Nipo mkuu, habari ya majukumu? Nimetulia kabisa sitaki kumkwaza tena. Labda kama kuna mgeni umemuona, tafadhali nishitue nimsalimie kidogo, kuacha kabisa inasumbua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom