Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Acha maneno kula likesTutajadili baadae ukiwa umetulia Sawa...
Acha maneno kula likesTutajadili baadae ukiwa umetulia Sawa...
[emoji23] [emoji23] me sikupata bahati ya pete ujueWatakuja hapa kutiririka wenyewe. Ni wake wenza? Carpa yaani mpaka roho inaniuma. She has this unique calmness, exceptionalism and collectiveness mpaka inaniwia vigumu kuamini ilikuwaje mpaka akaangukia mikononi mwako. Ulimvisha pete immediately au ulitumia mbinu gani?
Kula likes zakoHahahahah naona nilipitwa na mengi humu....[emoji12] [emoji12] [emoji55] [emoji55]
Show za kibabe eeeh?We unajua venye unavyonichoshaga usiku imebidi nipunguze uchovu kidogo
Huyu SHIMBA YA BUYENZE anataka kuweka gap kubwa mimi na wewe achana na hizi skendo[emoji23] [emoji23] me sikupata bahati ya pete ujue
Heiyaaaa...na QUIGLEY hajaja!Sammyluv beibe
Yes limahSammyluv beibe
Mwenyewe jana nililala mapema sanaZamu yetu leo jana uzalendo ulinishinda nikalala mapema
Kufa ukose like[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Likes nazitamani Ila sina Furaha leo jana juzi tangu sikukuu ya IDD... Aisee dunia hii mbaya kweli ngoja nijaribu kujipiga kisu nikifa bhasi nisipokufa jera ileee[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna mtu anaitwa isk umemuona?Nipo mkuu, habari ya majukumu? Nimetulia kabisa sitaki kumkwaza tena. Labda kama kuna mgeni umemuona, tafadhali nishitue nimsalimie kidogo, kuacha kabisa inasumbua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiku mwema jakitooUsiku mwema wapendwa
Kubaki young sehemu gani ya mwili???
KK ni kokoro mkuu. Hachagui. Anatembea na rundo la engagement rings, demu wako akizubaa tu anampachika!Sikujia kama KK ni mchafu hivyo alianza kupiga ndogo ndogo kwa GeJo. Hafai huyu mtu ngoja nitamtafuta.